John Kivunge offisa wa Tanzania akitoa maelezo wakati wa Utoaji heshima kwa askari walinda amani wa Tanzania waliokufa mjini darful kwenye shambulio la ghafla.
Askari wakitoa heshima zao za mwisho kwa miili ya wanajeshi wenzao waliokutwa na Mauti mjini Darful
Maiti za Askari zikipandishwa kwenye gali tayari kwa kusafirishwa
Tags
HABARI ZA KITAIFA