WAKAZI WA MOROGORO KUAGA MWILI WA NGWAIR HAPA, TAZAMA PICHA ZA MAANDALIZI

clip_image001Huu ni uwanja wa Jamhuri Morogoro ambapo wakazi wa mkoa wa Morogoro na jirani wataweza kuaga mwili wa marehemu Mfalme wa FreeStyle Albert Mangwair, Kisha kumpeleka kumpumzisha kwenye nyumba yake ya milele.

Post a Comment

Hii ni Blog kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Nchi yetu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...

Previous Post Next Post