Mume wa Malkia wa Mipasho nchini Khadija Kopa, Jaffari Ally amefariki dunia usiku wa kuamkia leo.Marehemu alikuwa anasumbuliwa na matatizo katika mfumo wa upumuaji na mpaka mauti yanamfika alikuwa amelazwa katika hospitali ya Lugalo jijini Dar. Mungu ailaze roho ya marehemu Jaffari Ally mahali pema peponi. Amen!
Tags
HABARI ZA WASANII