SARE tena. Lakini hii imekuwa tofauti kabisa. Siyo kwa sababu England hawakuwa na bahati. Walizidiwa mchezo kwa saa moja au zaidi, lakini wakafanikiwa kutoka 2-2.
Katika mchezo huo, mabao ya England yalifungwa na Oxlade-Chamberlain dakika ya 67 na Wayne Rooney dakika ya 79, wakati ya Brazil yalifungwa na Fred dakika ya 57 na Paulinho dakika ya 82.
Kikosi cha England kilikuwa: Hart, Johnson/Oxlade-Chamberlain dk61, Cahill, Jagielka, Baines/Cole dk31 Walcott/Rodwell dk84, Jones, Carrick, Lampard (Nahodha) Milner na Rooney.
Brazil: Julio Cesar, Dani Alves, Thiago Silva, Luiz, Filipe/Marcelo dk45, Luiz Gustavo/Hernanes dk45, Paulinho/Bernard dk83, Oscar/Lucas Moura dk56, Hulk/Fernando dk72, Fred/Leandro Damiao na Neymar.
Post a Comment Blogger Facebook
Toa Maoni Yako Kuhusu habari Hii
Note: Only a member of this blog may post a comment.