Unknown Unknown Author
Title: UPDATES MSIBA WA MANGWEA: MWILI UMEWASILI UWANJA WA NDEGE MWL. NYERERE
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Mwanamuziki kutoka kundi la wateule akiwa ameshiba msalaba wa Albert Mangwair baada ya mwili wake kuwasili katika uwanja wa ndege wa kimata...
clip_image002Mwanamuziki kutoka kundi la wateule akiwa ameshiba msalaba wa Albert Mangwair baada ya mwili wake kuwasili katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Mwl.Julius Nyerere.Photo: Friends and fan #ngwair arrival #airportBaadhi ya mashabiki na wapenzi wa nyimbo za marehemu Albert Mangwair wakilia kwa uchungu Airport jijini Dar es salaam baada ya mwili wa kipenzi cha watu kuwasili.Photo: #ngwair #airport 
Pichani ni baadhi ya Watanzania wakiusubiria mwili wa marehemu Albert mangwair kuwasili uwanja wa kimataifa wa Mwl. Julius Nyerere.Photo: #bananazorro and #media 
Mmoja wa marafiki na msanii Mangwair Banana Zorro akihojiwa na mwandishi wa habari wakati wakiusubiria mwili wa marehemu huyo.
Photo: #airport cargo section gate 6 waiting for our brothet #cowboy #ngwea
Mwili wa marehem Ngwea, tayari ushafika uwanja wa ndege Dar na tayari ndugu zake wameshauthibitisha kama kweli ni mwili wa Ngwea...

About Author

Advertisement

 
Top