Huku watu wakiwa katika Majonzi ya kupokea mwili wa kipenzi chao mwanamuziki wa bongo fleva Albert Mangwea kumbe wapo walioenda kwa dhamira nyingine ya Wizi. Huyu ni mmoja kati ya vijana hao alienusurika kuuwawa na wananchi wenye asila kali pale alipobainika akijaribu kuiba na kuokolewa na Askari wa Ulinzi uwanjani hapo.
R.I.P Mangwea
Tags
HABARI ZA WASANII