TAMASHA LA SIKU YA MUZIKI DUNIANI LAFANYIKA KIJITONYAMA JIJINI DAR

clip_image001Super Maya Baikoko kutoka Tanga wakifanya vitu vyao kwenye tamasha la siku ya muziki duniani lilifonyika jana kwenye viwanja vya posta Kijitonyama Dar es SalaamMratibu wa Utamaduni wa Goethe Institut-Tanzania, Daniel Semheho (kulia) akiteja jambo na kiongozi wa kundi la Super Maya Baikoko Juma Nassoro (kushoto) katikati ni Mzungu Kichaa.GodzilaBen PaulSarakasi pia zilikuwepo, kutoka makini kidsMsanii NyemoBarnaba na bendi yakeJhiko ManKala Jeremiah

Tamasha hilo liliandaliwa na umoja wa ulaya wa taasisi za utamaduni (EUNIC) na kudhaminiwa na Fastjet, Pepsi, Total na balozi za Ujerumani na Ufaransa.

Post a Comment

Hii ni Blog kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Nchi yetu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...

Previous Post Next Post