HICHI NDICHO ALICHOKIANDIKA MH. ZITTO KABWE KUHUSU KAULI YA PINDA “TUTAWAPIGA TU”

clip_image001Baada ya mh.waziri mkuu mizengo pinda kutoa ruhurusa kwa polisi kupiga wananchi..Mh mbunge zitto kabwe nae atoa lake

juu ya mh.waziri mkuu…Kupiitia tweet yake Zitto alisema “Viongozi wa kisiasa lazima wajue kuwa Kakiba ya maneno yao .kuropoka hovyo hovyo wakati kama huu wenye taharuki ni hatarii sana”..Aliongezea “Ni lazima viongozi wawajibishwe kwa maneno wanayotamka.Mh. Pinda anahamasisha ukiukwaji wa katiba na sheria Asipowajibishwa.!”

HIZI NDIZO TWEET ZA MH.ZITTO KABWEtweetzitto

Post a Comment

Hii ni Blog kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Nchi yetu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...

Previous Post Next Post