BAADA YA KUKAMILIKA KWA BARABARA KIWANGO CHA LAMI SONGEA HADI MBINGA SUPER FEO WAJIKITA KIBIASHARA:HAPA ni Kituo cha Mabus Mbinga: Angalia Mabus ya Superfeo Express ya Songea, yakiwa yamejipanga kabla ya uzinduzi tayari kwa safari za kutoka Mbinga - Dar -Mbinga. Katibu Tawala wa Wilaya ya Mbinga, Bw.Idd Mponda akikata utepe jana kuashiria uzinduzi rasmi wa Safari za Mbinga -Dar -Mbinga kuanzia leo Juni 12, 2013.Mkurugenzi wa Superfeo Express, Bw. Omary Msigwa (wa tatu kushoto) washiriki wa hafla hiyo wakiongozwa na Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Ruvuma, Bw. Oddo Mwisho, (wa kwanza kushoto) wakishangilia tukio hilo la kihistoria jana wilaya ya Mbinga na mkoani Ruvuma kwa ujumla.
(Picha kw Hisani ya Muhidin Amri, Maelezo Juma Nyumayo)
Credit to: RUVUMAPRESS
Post a Comment Blogger Facebook
Toa Maoni Yako Kuhusu habari Hii
Note: Only a member of this blog may post a comment.