Unknown Unknown Author
Title: SHOW YA JAY DEE SASA KUFANYIKA TAREHE 14 JUNE, PALE PALE NYUMBANI LOUNGE
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
MWEZI JUNE NI MWEZI AMBAO LADY JAYDEE AMEZALIWA BAADA YA SHOW KUAHIRISHWA KUTOKANA NA MSIBA WA NDUGU YETU ALBERT MANGWEAR, NA SASA HII NDIO ...

clip_image001MWEZI JUNE NI MWEZI AMBAO LADY JAYDEE AMEZALIWA BAADA YA SHOW KUAHIRISHWA KUTOKANA NA MSIBA WA NDUGU YETU ALBERT MANGWEAR, NA SASA HII NDIO TAREHE MPYA RASMI YA KUSHEREHEKEA MIAKA 13 YA LADY JAYDEE.

KATIKA KUSHEREHESHA SHUGHULI HIZO, VITU VITATU VIMEANGUKIA KATIKA TAREHE NA SIKU ZINAZOFUATANA. TAR 13 JUNE LADY JAYDEE ANARIPOTI MAHAKAMANI KWA MARA YA TATU, HUKU TAR 14 JUNE AKISHEREHEKEA MIAKA 13 KATIKA MUZIKI, NA TAR 15 JUNE ANASHEREHEKEA SIKU YAKE YA KUZALIWA.

KWA WAPENZI WA LADY JAYDEE HIYO ITAKUWA NI LONG WEEK END TUNAWAKARIBISHA WOTE TUSHEREHEKEE WEEK END YA KIHISTORIA PAMOJA NA LADY JAYDEE

VENUE: NYUMBANI LOUNGE

ENTRANCE: 20,000/=

TIME: 9PM

TUNAFURAHA KUWATANGAZIA KUWA VIP TICKETS ARE SOLD OUT TUNAKARIBISHA NAFASI ZILIZOBAKI AMBAZO NI TICKETS ZA 20,000/= TU

NYOTE MNAKARIBISHWA

About Author

Advertisement

Post a Comment Blogger

Toa Maoni Yako Kuhusu habari Hii

Note: Only a member of this blog may post a comment.

 
Top