Unknown Unknown Author
Title: REDD’S MISS ILALA APATIKANA NI DORIS MOLEL
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Redd's Miss Tabata 2013,Doris Molel akipunga mkono kwa mashabiki wake muda mfupi baada ya kutawazwa rasmi kuwa Mrembo wa Kitongoji cha T...

clip_image002Redd's Miss Tabata 2013,Doris Molel akipunga mkono kwa mashabiki wake muda mfupi baada ya kutawazwa rasmi kuwa Mrembo wa Kitongoji cha Tabata,Shindano hilo lilifanyika kwenye Ukumbi wa Da'west Park,Tabata jijini Dar es Salaam usiku wa kuamkia jumamosi.Wengine pichani ni Mshindi wa Pili wa shindano hilo,Upendo Lema (kulia) pamoja na Mshindi wa Tatu,Rachel Mushi.Redd's Miss Tabata aliemaliza muda wake,Noella Michael (alieketi) akisuburi kutangazwa kwa mrithi wake.Warembo walioingia hatua ya tano bora katika Shindano la Redd's Miss Tabata 2013.Kumi Bora.Warembo wa Tabata wakionyesha shoo yao ya ufunguzi.Warembo wa Redd's Miss Tabata wakionyesha vipaji vyao vya kuyarudi magomaShangwe zilitawala wakati wa kutangazwa mshindi.Warembo waliomaliza muda wao wa kushika mataji vya vitongoji,Kulia ni Noella Michael (Tabata) na Flaviana (Kurasini).Wakuu wa Kamati ya Miss Tanzania wakijadiliana jambo.Majaji wakifanalaizi mambo.Wadau mbali mbali walikuwepo kwenye onyesho hilo usiku huo.

Picha zote na Libeneke la  othmanmichuzi.blogspot.com

About Author

Advertisement

Post a Comment Blogger

Toa Maoni Yako Kuhusu habari Hii

Note: Only a member of this blog may post a comment.

 
Top