Sasa hapa sijui tuseme mwenyewe hakuwa anajua kama jamaa wanamrekodi au ndo kile kitu kinachoitwa alcoholi iko kwa kichwa jamaa kajiachia mtupuuuuu kama alivyo zaliwa na kucheza songi la Raisi wa Manzese liitwalo Nani kamwaga pombe yangu Bofya Hapa kuitazama Vidio hiyo
“POMBE KWELI SIO CHAI” HEBU CHEKI HII NANI KAMWAGA POMBE YANGU YA KISWAZI
byUnknown
-
0