Anaitwa Paula mtoto wa mama mwenye talent na baba mwenye talent, so vipi kuhusu mtoto?. Ofcoz hawezi kukosa kuwa na kipaji na yeye pia. Baba yake ni famous producer P Funk na mama yake ni one of the best actress hapa bongo..
Swali la kizushi ni kwamba atafuata music kwa baba au movie kwa mama.?
Tags
HABARI ZA WASANII