Kocha aliyetupiwa virago Simba SC, Mfaransa Patrick Liewig akizungumza na aliyekuwa mchezaji wake katika timu hiyo, Mrisho Ngassa ambaye amehamia Yanga SC jana Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam. Liewig alikwenda Taifa kukutana na wachezaji wake aliowafundisha Stellah Abidjan ambao wapo katika kikosi cha Ivory Coast na Ngassa alikuwa mazoezini na timu ya taifa, Taifa Stars. katikati ni Mwandishi wa Habari.
CREDIT TO BINZUBER
Tags
SPORTS NEWS