NEW VIDEO : Nonini – Kwama Nao …

clip_image001Baada ya kuwa kimya kwa kipindi kirefu sasa msanii kutoka nchini Kenya akujulikana kama Nonini ameamua kuvunja ukimya na kuachia ngoma yake mpya inayokwenda kwa jina la

“KWAMA NAO”…

Nonini ambae kwa sasa ni mtangazaji wa kituo kimoja cha radio cha 1FM nchini Kenya alishawahi kutamba na baadhi ya ngoma zake hapo nyuma kama Kadhaa, Keroro, Heshima na nyinginezo…

Check video yenyewe hapa chini …

Post a Comment

Hii ni Blog kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Nchi yetu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...

Previous Post Next Post