NEW MUSIC : MwanaFA & AY ft. J.Martins – Bila Kukunja Goti … [Prod. by Marco Chali]

clip_image001Ni ngoma mpya iliyokuwa ikisubiriwa kwa hamu kutoka kwa MwanaFA pamoja na AY wakiwa wamemshirikisha msanii kutoka Nigeria maarufu kama J Martins, ngoma inaitwa

“BILA KUKUNJA GOTI”.

Mdundo wa ngoma hii umetengenezwa na Producer Marco Chali kutoka MJ Records.

Kuwa wa kwanza kuisikiliza hapa chini …

Post a Comment

Hii ni Blog kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Nchi yetu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...

Previous Post Next Post