Unknown Unknown Author
Title: NAPE AFUNGUA KAMPENI ZA UDIWANI SENGEREMA
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Taifa, Nape Nnauye akihutubia wakazi wa kata ya Nyampulukano, Sengerema wakati wa ufunguzi wa kampeni za udi...

clip_image001Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Taifa, Nape Nnauye akihutubia wakazi wa kata ya Nyampulukano, Sengerema wakati wa ufunguzi wa kampeni za udiwani. Juni, 3, 2013.Mgombea kiti cha udiwani kata ya Nyampulukano  kupitia CCM,Ndugu Charles Gabriel Rugabandana akisalimia wananchi mara tu baada ya kutambulishwa rasmi.Uchaguzi huo unatarajiwa kufanyika tarehe 16,Juni,2013.Mbunge wa Sengerema ,William Ngeleja akihutubia wakazi wa kata yaNyampulukano na kuelezea jinsi ilani ya uchaguzi ilivyotekelezwa pamoja na ufafanuzi juu ya mradi mkubwa wa maji kwa wakazi wa Sengerema.Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Geita, Ndugu Joseph Kasheku Musukuma' akihutubia wakazi wa Sengerema wakati wa ufunguzi wa kampeni za udiwani kata Nyampulukano,Sengerema, Mwanza.Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye akishuka kutoka kwenye kivuko cha MV Sengerema tayari kufungua kampeni za udiwani kata ya Nyampulukano.Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi akisalimia na wakazi wa Sengerema waliokuja kumpokea Busisi leo.Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi akisalimiana na Hashimu Lundenga, mara baada ya kuwasili Busisi ,Sengerema leo.Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye akisalimiana na wakazi wa Sengerema katika viwanja vya shule ya Msingi Sengerema.Mzee  Bukilo akiongoza kundi lake wakati wa mkutano wa hadhara wa ufunguzi wa kampeni kata ya Nyampulukano, wilaya ya Sengerema, Mwanza. Picha na Adam H. Mzee

About Author

Advertisement

Post a Comment Blogger

Toa Maoni Yako Kuhusu habari Hii

Note: Only a member of this blog may post a comment.

 
Top