MKUTANO MKUU WA 12 WA MWAKA WA VITUO VYA ELIMU KWA NJIA YA MTANDAO KUTOKA NCHI 15 ZA AFRIKA(AADLC) WAFANYIKA DAR ES SALAAM TANZANIA

clip_image001Katibu Mkuu ofisi ya Raisi na utumishi wa umma Bw Georg Yambesi c akijadiliana jambo na Rais wa (AADCL) na Mkurugenzi (DLC) kutoka  Senegal Bwana Mor Seck kushoto kwa Yambesi ni Mkurugenzi mtedaji wa (TAGLA) Charles Senkoro.Katibu mkuu wa ofisi ya rais menejimenti ya utumishi wa umma GEORGE YAMBESI amewataka wajumbe wa umoja wa vituo vya elimu kwa njia ya mtandao barani AFRIKA washirikiane na makampuni ya TEHAMA na simu za mikononi kuwafikishia elimu wananchi walio maeneo ya Vijijini.Bwana Yambesi ndiye aliyeufungua mkutano huo leo picha na Chris Mfinanga

Post a Comment

Hii ni Blog kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Nchi yetu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...

Previous Post Next Post