MBUNGE WA CCM NKASSI ATOA MPYA TENA BUNGENI LIVE SASA HIVI!!

clip_image002Mbunge wa Nkassi Kaskazini Ali Mohamed Keissy. pohon ganja di rumah osama biin laden (1)Mbunge wa Nkassi Ali Mohamed Keissy nchini Tanzania hivi karibuni alipendekeza nchi hiyo kuruhusu ulimaji wa bangi kama zao la biashara nchini humo, akieleza kwamba zao hilo linaweza kuleta faida kubwa nchini humo kuliko Tumbaku. Nilipata nafasi ya kuzungumza nae kwenye kipindi chetu cha Jamii na Maendeleo (Idhaa ya Kiswahili ya Sauti ya America-VOA)

BUNGENI LEO…..Mbunge wa Nkassi Kaskazini Ali Mohamed Keissy Amesema leo bungeni kuwa ANATAKA WALE WOTE WALIODHULUMU SHIRIKA LA NDEGE WAFUFULIWE HATA KAMA WAMEKUFA ILI MIFUPA YAO ISAGWE SAGWE IWE HUKUMU YAKO;;;

(rekodi aliyonayo mbunge huyu aliwahi kusema kuwa endapo serikali haitapeleka maji jimboni kwake atawabeba kwenye gari wanawake ambao hawajaoga kwa muda wa siku tatu na kuwapeleka bungeni ili wakakinukishe kikwapa mjengoni)

PIA NI WIKI ILIYOPITA TU ALIULIZA KAMA ILE GESI YA MTWARA NI YA KUJAMBA AMA LAA..........

SOURCE: DJ-SEKI BLOG

Post a Comment

Hii ni Blog kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Nchi yetu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...

Previous Post Next Post