Unknown Unknown Author
Title: MASHINDANO YA KISSING CHINA: WANAWAKE WAZIMIA BAADA YA KUKISS MUDA MREFU!!!!!!!
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Duniani kuna mambo kweli kweli nchini china watu washindana kupigana busu la mdomoni na yule aliye mpiga mwenzie kwa muda mrefu aliibuka ms...
clip_image001[7]Duniani kuna mambo kweli kweli nchini china watu washindana kupigana busu la mdomoni na yule aliye mpiga mwenzie kwa muda mrefu aliibuka mshindi na kunyakua kitita cha Yuan 50000 sawa na zaidi ya million 13 za kitanzania.clip_image001[13]Kila mtu alitumia ujuzi wake ilimradi tu aweze kuibuka kidedea, cheki hiyo swaga hapo chi na hiyo ya juu, waweza sema ipi kali.clip_image001[15]

clip_image001[11]

clip_image001

Kizaa zaa kilikuja mara wanawake wakaanza kupoteza fahamu baada ya kupigwa busu kwa muda mrefuMmoja wa washiriki akiwa amezimia.

About Author

Advertisement

 
Top