Hapa ndipo panapoitwa #NyumbaniLounge sehemu ya Packing ambapo siku ya Ijumaa ndio litadondoshwa lile party la miaka 13 ya mwanadada @JideJaydee sasa hivi kinachoendelea ni upimaji wa kuja kulidondosha lile li steji mwanawane hahahaa #hadiRAHA
PICHA KWA HISANA YA DJCHOKA