Huku watanzania wakiwa katika heka heka ya kujiuliza kwanini kiwango cha elimu kimezidi kushuka kila mwaka wadau wameanza kupata majibu kuwa yawezekana mporomoko wa maadili unaweza uka wa chanzo kikubwa katika hilo kwani siku za hivi karibuni matukio mengi ya mmomonyoko wa maadili hayo umekuwa ukikuwa kwa kasi kubwa. hebu angalia hii kama wewe ungekuwepo eneo hilo ungechekelea kama walivyo fanya hawa au ungechukua hatua gani?