DIVA WA CLOUDS FM NAYE ATOA PICHA YA NUSU UCHI ILI KUMTEKA PREZZO ANAYEONEKANA KUHAMISHIA PENZI KWA HUDDAH

clip_image002Baada ya huddah kuweka picha yake akiwa na prezzo na kuzua gumzo mitandaoni, Diva  wa  clouds  fm ameamua kuweka picha yake ya NUSU UCHI  ili kupotezea  Aibu  hiyo..

"Love at the first sight  imekwishaimekwisha."....

Ulimpiga  KIBUTI   mbunge  mh. JEPESI , tena   kwa  mbwembwe, vijembe  na  kejeli  kibao  mtandaoni......Leo  hii  jamii  inashuhudia  unavyoumbuka.Penzi  la  Huddah  na  Prezzo  lilikuwa  wazi  na  la  vitendo.....

Siku  moja  kabla  ya  kutolewa  katika  jumba  la  big brother, Huudah  aliweka  wazi  juu  ya  uhusiano  wake  na  Prezzo  huku akielezea  jinsi  alivyo  miss  kushikwa  shikwa...!!Prezzo  na  mpenzi  wake....

Nani  alikurupuka  kati  yake  na  wewe???

Si  mbaya  sana, ENDELEA  KUWEKA  PICHA  ZA  UCHI, PENGINE  ATAHAMISHIA  PENZI  KWAKO

Post a Comment

Hii ni Blog kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Nchi yetu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...

Previous Post Next Post