JESHI LA POLICE LINAENDELEA KUTEKELEZA AMRI ZA WAZIRI MKUU MHESHIMIWA PINDA BAADA YA ASKARI WA JESHI LA POLICE MKOANI MBEYA WILAYA YA MBOZI KIJIJI CHA RUANDA KUMPIGA RISASI NA KUMUUA MFANYABIASHARA WA MAFUTA YA DESEL AITWAYE [rajabu mwashitete] KOSA KUBWA LILIKUWA NI KUWANYIMA RUSHWA ASKALI HAO.
BAADA YA TUKIO HILO WANANCHI WA VIJIJI HIVI VYA RUANDA WILAYANI HAPA MBOZI WALIANDAMANA TOKA JANA MPAKA MDA HUU PIA WAMWKATAA KUCHUKUA MAITI HIYO ILI WAKAIZIKE WANANCHI HAO WAMESEMA HAWATACHUKUA MAITI HIYO KWA KUWA MAREHEMU RAJABU ALIUWAWA NA POLICE BILA HATIA MPAKA MDA HUU MAITI IKO HOSPITAL YA WILAYA YA MBOZI TOKEA JANA JIONI,
MDOGO WA MAREHEMU AITWAYE [sijali mwashitete] AMEKUNYWA SUMU BAADA YA KUONA KAKA YAKE AMEUWAWA NA POLICE BILA MAKOSA NA ALIVYOSIKIA KUWA WAZIRI MKUU AMESEMA WAACHE POLICE WAENDELEE KUWA PIGA ALISHINDWA KUVUMILIA NA AKANYWA SUMU LEO HII. BADA TU YA KAULI YA WAZIRI MKUU YEYE AMEZIKWA ILA KAKA YAKE HAJAZIKWA.
Post a Comment Blogger Facebook
Toa Maoni Yako Kuhusu habari Hii
Note: Only a member of this blog may post a comment.