Now days kwa baadhi ya miji mikubwa hapa kwetu tanzania imeanza kuzoeleka kumkuta mwanamke akiwa amesimama kwenye mlango wa daladala kama konda daladala..haishangazi.....
lakini kumkuta mwanamke wa kizungu, tena mzungu pure kuwa konda wa daladala bila shaka ni ngumu kuamini kidogo sababu tunaamini watu weupe hususani kutoka mataifa ya ulaya ni watu waliobarikiwa kuwa na uwezo kimaisha so inakuwaje kwa mwanamke wa kizungu kuwa konda wa daladala tena ndani ya Africa?
Picha hapo juu ni picha iliyopigwa maeneo ya kileleshwa nchini kenya ikionesha mdada wa kizungu akiwa ndani ya daladala aka matatuu na amevaa uniform wanazovaa makonda yawezakuwa ni kweli ama ni just swagg tu maana wazungu hawawezekani kwa vituko ...
AU UNASEMAJE NDUGU MSOMAJI INAWEZA IKAWA NI SIN KWENYE MOVIE…!
Post a Comment Blogger Facebook
Toa Maoni Yako Kuhusu habari Hii
Note: Only a member of this blog may post a comment.