HUYU NDO MSANII WA BONGO MOVIE ANAYEDAI KUWA YEYE NI BIKRA NA HAMJUI MWANAUME

clip_image001Mwigizaji wa kike anayetesa katika tasnia ya filamu Bongo Diana Rose kimaro ‘Diana’ amedai kuwa hana mahusiano ya kimapenzi na mwanaume yoyote na wala hafikirii kuwa na Boyfriend kwani yeye bado ni mwanafunzi na akili yake yote ipo katika masomo .
Wakati ukifika akiwa na maisha yake atachagua ni mwanaume yupi anastahili kuwa naye kwa maisha yake rasmi lakini si sasa.


“Sijui kabisa mambo hayo na sijawahi kufanya upuuzi huo, ninaheshimu sana familia yangu baba yangu ni mkali sana hataki ujinga. Kwa hiyo si rahisi kudili na wanaume, mimi ni  bikira , natoa nafasi kwa masomo kwanza sitaki kujichanganya na kuwa kituko mjini,” anasema Diana.

Post a Comment

Hii ni Blog kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Nchi yetu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...

Previous Post Next Post