Mrembo Fatma aka Brown Berry katika pose
Hizi picha ni za msichana anayetajwa kuwa ni Fatma aka Brown Berry wa Ilala Dar es Salaam ambae amekamatwa akisafirisha madawa ya kulevya au “unga” nchini Misri. Pia chini kuna video inayoonyesha maafisa wa Egypt wakionyesha jinsi unga huo ulivyofichwa ndani ya begi kabla ya kubambwaFatma akiwa na inayesemekana kuwa ni mwanae Fatma aka Brown Berry akiwa na mpenzi wake
Hapa chini ni video inayoonyesha kukamatwa kwake na unga huo
Hapa chini ni video inayoonyesha kukamatwa kwake na unga huo
Kumekua na taarifa kwamba msichana huyu amehukumiwa kunyongwa. Hata hivyo baadhi ya watu wametuma message kadhaa kwa bloggers kwenye mitandao ya kijamii kusema kwamba ni kweli ndugu yao amekamatwa lakini taarifa za hukumu ya kunyongwa sio za kweli, na hata hajahukumiwa bado
Source: jestina-george
Source: jestina-george