Unknown Unknown Author
Title: HIKI NDICHO ALICHOSEMA KALA JERMAYA MARA BAADA YA KUCHUKUA TUNZO TATU ZA KTMA 2013 HAPO JANA
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
JANA ILIKUWA SIKU KUBWA SANA KWENYE MAISHA YANGU. KUPOKEA TUZO 3 KWA MPIGO NI ALAMA YA USHINDI.MUNGU KASIKIA KILIO CHETU.NATAMANI NIONGEE FU...

977765_672718516087829_2050233137_oJANA ILIKUWA SIKU KUBWA SANA KWENYE MAISHA YANGU. KUPOKEA TUZO 3 KWA MPIGO NI ALAMA YA USHINDI.MUNGU KASIKIA KILIO CHETU.NATAMANI NIONGEE FURAHA YANGU ILI NA WE UJUE ILA TATIZO FURAHA YANGU HAIZUNGUMZIKI.NIMEFURAHI SANA
ASANTE MUNGU KWA HILI SHAVU JINGINE
ASANTENI SANA MASHABIKI WANGU KWA KUNIFANYA MFALME NAWAPENDA SANA
ASANTENI VYOMBO VYOOTE VYA HABARI BILA NYINYI SIWEZI
ASANTENI SANA WAAANDAAAJI WA TUZO HIZI KILIMANJAARO TANZANIA MUSIC AWARDS. MMEIBADILISHA HISTORIA YA MUZIKI WANGU
ASANTE SANA MADAME RITA NA BSS KWA UJUMLA KWA KUIBUA HIKI KIPAJI
ASANTE PRODUCER WANGU DEE CLASSIC KWA MDUNDO WA DEAR GOD
ASANTENI SANA WASANII WENZANGU KWA KUNIPA USHIRIKIANO
KATI YA WATU WALIYOONYESHA FURAHA ZAO ZA AJABU SANA NI PAMOJA NA JOKATE MWEGELO KIDOT AMBAYE HUWA SIKU ZOTE YUKO UPANDE WANGU SANA. PIA SHILOLE AMBAYE ALIBAHA KWA FURAHA NA MARAFIKI WENGINE.
NASEMA ASANTENI SANA. MBARIKIWE.

About Author

Advertisement

Post a Comment Blogger

Toa Maoni Yako Kuhusu habari Hii

Note: Only a member of this blog may post a comment.

 
Top