Msichana mmoja kutoka kaunti ya bungoma sasa anataka hatua zichukuliwe dhidi ya daktari mmoja kwa kuhatarisha maisha yake.
Maureen Khaemba alifika hospitali kuu ya bungoma kujifungua, lakini baada ya upasuaji, daktari alisahau pamba tumboni mwake hali ambayo imemsababishia maumivu chungu mzima.
Beatrice Maganga na taarifa hiyo.
Post a Comment Blogger Facebook
Toa Maoni Yako Kuhusu habari Hii
Note: Only a member of this blog may post a comment.