FEZA azidi kupeta mjengoni....
Mtanzania FEZA amenusurika kutoka katika jumba la biggie baada ya kuwa up for possible eviction kufuatia kuwekwa kitanzini (nominated) Jumatatu iliyopita...
Koketso mshiriki kutoka South Africa na LK4 ambaye ni mshiriki kutoka Uganda wamekuwa washiriki wa tatu na wa nne kutoka katika jumba la Big Brother Africa baada ya Denzel na Huddah kuyaaga mashindano wiki iliyopita..
Total: Hakeem = 6; Feza = 3; Dillish =3, Koketso = 2, LK4 = 1. (Total: 15 Votes)
Weekly Winners:
DStv Walka : Yvonne Sampson - Namibia
Uhuru Tablet: Tumi Maila -South Africa
HD PVR Winner: Theofridah Christian - Tanzania
Tags
BBA SEASON 7