Unknown Unknown Author
Title: Breaking News: WATU SABA WAJERUHIWA IKIHUSISHWA NI MLIPUKO WA BOMU
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Watu saba wamejeruhiwa kwa mlipuko unaohisiwa kuwa ni bomu,mara baada ya mkutano wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) uliokuwa u...

6510_197909020362132_1935330081_nWatu saba wamejeruhiwa kwa mlipuko unaohisiwa kuwa ni bomu,mara baada ya mkutano wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) uliokuwa ukifanyika katikaViwanja vya Soweto Mjini Arusha. Hali siyo shwari polisi wanalipua mabumu watu wamejeruhiwa
 
Bomu lililolipuka limejeruhi watu sana. Inaonekana bomu lilitegwa karibu na gari la matangazo.Mtoto aliyelipukiwa na bomu amefariki uwanjani.  
MADAKTARI NA WAUGUZI WAKITOA HUDUMA YA KWANZA KWA WATU WANAODAIWA KUATHIRIKA KATIKA MLUPUKO WA KITU KIN
ACHODHANIWA KUWA NI BOMU BAADA YA KUJERUHIWA WAKATI WAKIWA KATIKA MKUTANO WA CHADEMA JIJINI ARUSHA ENEO LA SOWETO.
Kwa habari zaidi Endelea Kuwa nasi.

About Author

Advertisement

 
Top