AJALI YATOKEA MBEZI KWA YUSUPH, GARI NA PIKI PIKI

clip_image002Hii ajali imetokea sasa hivi hapa Mbezi kwa Yusuph huyu dereva mwenye gari alikuwa anakunja kuingia upande wa pili ndipo alipokutana na pikipiki iliyokuwa speed. Dereva wa pikipiki amepata majereha mwilini mwake

CREDIT TO DJ CHOKA blog

Post a Comment

Hii ni Blog kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Nchi yetu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...

Previous Post Next Post