MTOTO wa King Majuto ''Hamza King Majuto'' Baada ya kufanya mahojiano mafupi na mwandishi wa Masai Nyotambofu kupitia ujumbe wa Simu ya mkononi, ''Hamza'' alikanusha kuwa baba yake hajawahi kujihusisha na mtandao wowote wa kijamii hivyo yeyote Anaetumia Jina la Baba yake kwenye mtandao wowote wa kijamii yeye atamfuatilia nakumchukulia hatua za kisheria maana Si sahihi kutumia jina la mtu bila ridhaa yake, Aidha kwenye Facebook, twitter, BBM, INSTERGRUM na mingiyo. Yeye atakomaa nao sheria itafuata mkondo wake. Baadhi ya kurasa alizo zibamba hizi hapa chini.
Hizi hapa juu na chini ndizo kurasa za facebook alizozinasa Hamza King Majuto zikitumia Jina la mchekeshaji nguli hapa nchini King Majuto kinyume cha Sheria.
Tags
HABARI ZA WASANII