NI KATIKA UTENGENEZAJI WA VIDEO YAKE MPYA YA KIMBIJI
MSANII MAARUFU WA BONGO FLEVA BOB JUNIOR AMEONYESHA KUDHAMIRIA KUWEZA KUTOA VIDEO KALI YA NYIMBO YAKE BAADA YA KUAMUA KUONYESHA VITENDO ZAIDI KWA KWENDA KARIAKOO NA KUFANYA VIDEO HAPO
Tags
HABARI ZA WASANII