BBA YAPAMBA MOTO KWA NGONO, MCHEKI FEZA KESSY NAYE AMENASWA NA CAMERA ZA BIG AKIBADILISHANA MATE

clip_image001Ikiwa ni wiki kadhaa zimepita tangu Shindano la Kumsaka Mshindi wa BigBrother Africa The Chase lianze, washiriki mbalimbali wamejikuta katika hali ya kujisikia kulidhisha miili yao wengine wakitafuta mahusiano na washiriki wenzao na wengine walioamua kujiridhisha wenyewe kwa kufanya uchuaji… katika hali hiyo kamera ya Big Imemnasa mshiriki wa Tanzania Feza Kessy Akibadilishana Mate na Msiriki wa Botwasa ndani ya Jumba hilo… Daah hali sasa ni Tete ndani yajumba hilo sasa Lageuka Show za Picha za Kikubwa Hebu Jionee Mwenyewe

BOFYA HAPA

Post a Comment

Hii ni Blog kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Nchi yetu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...

Previous Post Next Post