WEMA SEPETU APATA DILI LA MAMILIONI, PICHA NA STORY HIZI HAPA

clip_image002Miss Tanzania 2006 na muigizaji wa filamu Wema Sepetu amepata mchongo wenye pesa ndefu kutoka kampuni ya nywele ya Darling Hair Tanzania.

Kwa mujibu wa meneja wake, Martin Kadinda mkataba huo utamfanya Wema awe staa mwenye thamani kubwa zaidi Tanzania ingawa amesema si kawaida yao kutaja kiasi cha fedha.clip_image002[6]Deal hiyo itamuonesha Wema akiwa kama msemaji na sura wa Darling Hair Tanzania.

CHANZO : BONGO5.COM

Post a Comment

Hii ni Blog kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Nchi yetu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...

Previous Post Next Post