Shamim Mohamed anyakua taji la Redd's Miss Mzizima 2013

clip_image002Redd's Miss Mzizima 2013,Shamim Mohamed (kati) akipunga mkono muda mfupi baada ya kutangazwa kuwa mshindi wa taji hilo katika shindano lililofanyika kwenye Ukumbi wa Lamada jijini Dar es Salaam,mwishoni mwa wiki.Wengine pichani ni Mshindi wa Pili,Munira Mabrouk (kulia) pamoja na Mshindi wa Tatu,Rehema Mpanda. clip_image002[7]Warembo wa Redd's Miss Mzizima walioingia katika hatua ya tano bora,wakiwa wamejipanga kusubiri kupatikana kwa mshindi. clip_image002[9]Redd's Miss Mzizima 2013,Shamim Mohamed (kulia) akikabidhiwa hundi ya dola 450 kutoka kwa Mamaa wa Mitindo,Asia Idarous.clip_image002[11]Picha ya Juu na Chini: Wacheza shoo wa Twanga Pepeta wakifanya mambo yao jukwaani.clip_image002[13]clip_image003Waratibu wa Shindano la Redd's Miss Mzizima,Kushoto ni Sunday Mozzy pamoja na Osango wakipozi kwa picha.

Post a Comment

Hii ni Blog kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Nchi yetu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...

Previous Post Next Post