VIDEO: RAIS KIKWETE AKEMEA VURUGU ZA MTWARA MEI 22, 2013
byUnknown-
0
Rais Jakaya Mrisho
Kikwete akizungumza katika eneo la Kizota, Dodoma wakati wa kuweka jiwe
la msingi la ujenzi wa Barabara ya Dodoma kwenda Iringa, ambapo Rais
Kikwete alisema wote waliohusika na vurugu za Mtwara watasakwa na
kuchukuliwa hatua kali.
Hii ni Blog kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Nchi yetu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...