Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na Nahodha wa timu ya taifa, Taifa Stars, Juma Kaseja Ikulu mjini Dar es Salaam leo, wakati rais huyo alipowaalika wachezaji wa timu hiyo kwa ajili ya chakula cha mchana.
Rais Kikwete akisalimiana na Amri Kiemba
Rais Kikwete akisalimiana na Simon Msuva, huku Shomary Kapombe akijiandaa naye
Rais Jakaya Kikwete akisalimiana na Ally Mustafa 'Barthez'
Akisalimiana na Kocha Kim Poulsen
Hapa akiwahutubia wachezaji hao baada ya chakula
Katika picha ya pamoja na wachezaji wa Stars
Picha ya pamoja na viongozi na wachezaji
Kaseja akichukua ushauri kwa Meneja wa Taifa Stars, Leopold Mukebezi kabla ya kwenda kutoa hotuba yake fupi kwa niaba ya wachezaji wenzake
Rais akisalimiana na Tedi mapunda
Kutoka kulia kocha wa makipa, Juma Pondamali, Makamu Mwenyekiti wa Kamati ya Saidia Stars Ishinde, Dk Ramadhani Dau, Nadir Cannavaro, Erasto Nyoni na Mrisho Ngassa
Kaseja akiwa na Tedi Mapunda
Kutoka kulia Kaseja, Ibrahim Masoud na Cannavaro
Kocha Kim Poulsen akiondoka baada ya kusalimiana na Rais Kikwete, anayemfuatia ni Cannavaro
Khamis Mcha 'Vialli' akiondoka kwa furaha baada ya kusalimiana na Rais Kikwete
Mwenyekiti wa Baraza la Michezo la Taifa (BMT), Dioniz Malinzi akisikiliza hotuba ya rais Kikwete, kulia kwake ni kocha Poulsen na Waziri wa Habari Utamaduni na Michezi, Dk Fenella Mukangara
Frank Domayo kulia na Simon Msuva kushoto
Mrisho Ngassa kulia na Aggrey Morris kushoto
Mwinyi Kazimoto kulia na Haruna Chanongo kushoto
Shomary Kapombe kulia na Nadir Cannavaro kushoto
Meneja wa bia ya Kilimanjaro, wadhamini wa Taifa Stars, George Kavishe akiwa na Athumani Iddi 'Chuji' kulia na Shomary Kapombe kushoto
Picha kwa hisani ya BINZUBER
