OMMY DIMPOZ AWAPA SUPRISE NAY & DIAMOND NDANI YA MAISHA CLUB, HIKI NDO KILICHOTOKEA

clip_image001Aikuwa kwenye ratiba ya video launching ya Muziki Gani....
Lakini DIMPOZ aliposikia
Kuna show yetu baada ya kuwa na tour ndefu Barani Ulaya
akuona tabu kuja kuona show...
Lakini ilifika muda DIAMOND YUPOstejini baada ya muziki kukatishwa akapanda
DIMPOZ stejini na kutumbuiza
Kwa dakika kadhaa tu.....It was crayyziee...!!
Much Love to Him......

Mizuka ilipompanda ajajajaja....... Pozi Pozi Pozi....Pozi kwa Pozi....

Post a Comment

Hii ni Blog kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Nchi yetu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...

Previous Post Next Post