Picha juu inamuonyesha mwanamuziki nguli wa muziki wa kizazi kipya Judithi Wambura , 'Jay Dee' kushoto akiwa na mumewake ambaye pia ndiyo meneja wake Gadna G. Habashi nje ya Mahakama ya Wilaya ya Kinondoni wakisubili kuingia katika chumba cha mahakamani kwa ajili ya kusikiliza kesi ya madai inayomkabili ambayo imefunguliwa na meneja wa mtafiti wa matukio Clouds Media Group Ruge Mtahabwa pamoja na Joseph Kusaga, ambapo kesi hiyo imehairishwa mpaka tarehe 13 Juni mwaka huu.
Kesi hiyo ipo chini ya Hakimu Athumani Nyamlani
Tags
HABARI ZA WASANII