NIPENI USHAURI: NINA FIKA MAPEMA KULIKO KAWAIDA, NINI TATIZO.

clip_image001Ndugu wasomaji wa Blog yetu Msomaji mwenzetu anatatizo na anaomba msaada wa Ushauri nini afanye kwani hali ya Ndoa yake kwa sasa inadoa tena doa kubwa hivyo anaomba Ushauri iliainusuru Ndoa yake na huu ndio Ujumbe wake.

“HI BRO NAOMBA USHAURI NIMEOA ILA NINA TATIZO HASA WAKATI WA TENDO LA NDOA KUMALIZA MAPEMA NA HILI SASA MKE AMEANZA KULIHOJI KWANI UKO NYUMA HALIKUWEPO NAOMBA MSAADA WAKO WA USHAURI”

Tumpatie ushauri hasa wakitaalam zaidi….

Post a Comment

Hii ni Blog kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Nchi yetu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...

Previous Post Next Post