Nifanye nini Niunganishiwe Umeme ikiwa Taratibu Nimefuata Sipewi Huduma?

tambalaNa. Abdulaziz Video

Mdau nimeletewa lalamiko toka kwa Kaka yangu Hashimu Tambala wa
Manispaa ya Lindi kama ifuatavyo-Namnukuu akilalamika kwangu
Nimelipia gharama zote zinazotakiwa Januari 14,2013 ili kuunganishiwa
Umeme lakini hadi leo 17 May 2013 soli yangu ya viatu inaishia kwa
safari lukuki za kwenda TANESCO bila mafanikio. Sijui nimwombe ili
nipate huduma ya Umeme wakati Taratibu zote nimefuata? Naomba nisaidiwe
kupitia blog hii Tafadhali?

Post a Comment

Hii ni Blog kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Nchi yetu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...

Previous Post Next Post