Na Abdulaziz Lindi
Mtu mmoja alietambulika kwa jina la Ismai Mayoba(31)anaefanya kazi Bar
ya Mangrove,Mkazi wa Jamhuri Manispaa ya Lindi amenusurika kifo baada
ya kuvamiwa na kundi la Vijana waliotaka kumpora na hatimae kumchoma
moto amelazwa katika Hospital ya Sokoine Mjini humo
Kufuatia tukio hilo,Jeshi la Polisi wilayani Lindi limefanikiwa
kumkamata mmoja kati ya watuhumiwa saba waliohusika na tukio hilo
lilitokea katika eneo la Mtaa wa Congo
Akithibitisha kuwepo kwa tukio hilo na kukamatwa kwa mtuhumiwa,Afisa
Mnadhimu wa Jeshi la Polisi Mkoa wa Lindi,Renatha Mzinga alimtaja ndg
Ally Manially(22)mkazi wa mtaa wa Kongo kuwa anashikiliwa na Jeshi
hilo na atafikishwa mahakamani leo kujibu shitaka la kujeruhi na
kujipatia pesa kwa njia ya Udanganyifu ikiwa pamoja na kumchoma
mwenzie Moto huku akijua ni kosa kisheria
Aidha Mzinga alieleza kuwa Jeshi la polisi linaendelea kutafuta
watuhumiwa wengine 6 waliohusika na tukio hilo
Taarifa zaidi tutawaletea kuhusiana na tukio hilo