Mabomba ya mradi wa kusafirisha maji kutoka Mkoani Pwani yakiwa yametandazwa kwenye barabara ya Bagamoyo tayari yakisubiri kuchimbiwa chini ili kupunguza ama kuondoa kabisa tatizo la maji linalo likabili jiji la Dar es Salaam kama yalivyokutwa na kamera ya mtandao huu leo.
Kazi ya kulaza mabomba ikiendelea.
Mafundi vijana wakitanzania wakiongozwa na mafundi wa kigeni kutoka China ndio walioonekana wakifanya kazi hiyo.
Kufanikiwa kwa mradi huu kutaweza kupunguza ama kuondoa kabisa kero ya maji kwa jiji la Dar.
Tags
HABARI ZA KITAIFA