Unknown Unknown Author
Title: HISTORIA YA MAREHEMU NGWAIR ALIYOISEMA MWENYEWE KWENYE INTERVIEW YAKE YA MWISHO
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
JINA LAKE HALISI NI ALBERT KENETH MANGWAIR,NI MTU WA RUVUMA MNGONI, LAKINI ALIZALIWA MBEYA TAREHE 16 NOVEMBER,1982. YEYE NI MTOTO WA MWISHO...

clip_image002

JINA LAKE HALISI NI ALBERT KENETH MANGWAIR,NI MTU WA RUVUMA MNGONI, LAKINI ALIZALIWA MBEYA TAREHE 16 NOVEMBER,1982. YEYE NI MTOTO WA MWISHO KWAO, KWA BABA AKIWA MTOTO WA 10, KWA MAMA AKIWA MTOTO WA 6.

NGWAIR ASILI YAKE NI RUVUMA,YAANI MNGONI, ALIZALIWA MBEYA,A KIWA MIAKA 5 WALIHAMIA MOROGORO AKASOMA SHULE YA MSINGI BUNGO HADI DARASA LA 5,BABA YAKE AKAPATA UHAMISHO AKAHAMIA DODOMA,SO AKAHAMA NA BABA YAKE AKAENDA AKAMALIZA SHULE YA MSINGI MLIMWA DODOMA.BAAADAE MAZENGO SEC,THEN CHUO CHA UFUNDI MAZENGO.

About Author

Advertisement

Post a Comment Blogger

Toa Maoni Yako Kuhusu habari Hii

Note: Only a member of this blog may post a comment.

 
Top