HII NDIO TWEET YA K-LYN KWA REGMENGI, ISOME MWENYEWE

clip_image001“Kwa wapenzi wafuatiliaji wa Miss Tanzania 2000, habari kutoka kwa Sports Lady, Dina Ismail zinasema -- MISS Tanzania 2000 Jacquiline Ntuyabaliwe amefanikiwa kujifungua salama watoto mapacha wa kiume.
Taarufa zilizopatikana zinaeleza kwamba mrembo huyo pamoja na watoto wake hao hali zao zinaendelea vyema”

POST HIYO ILIWEKWA MTANDAONI MNAMO 11 OCTOBER, 2012 NA LEO TAREHE 30 MAY, 2013 AMEFUNGUKA KWA KU TWEET HIVIclip_image002

Mzee anajua kuchagua...
Wengine tulikuwa tunasikiasikia juu juu tu, ila bi. mdogo leo kafunguka.
AU NI FAKE AKAUNTI? HEBU MDAU TIRIRIKA KATIKA COMMENT BOX

Post a Comment

Hii ni Blog kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Nchi yetu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...

Previous Post Next Post