CHELSEA YAIBOMOA 3-1 BASLE NA KUTINGA FAINALI UROPA

Mobbed: David Luiz is bundled by team-matesShangwe: Luiz akipongezwa na wenzake
CHELSEA imefanikiwa kutinga fainali ya Europa League baada ya kuifunga mabao 3-1 FC Basle ya Usiwsi usiku huu kwenye Uwanja wa Stamford Bridge.
Mabao ya Chelsea katika mchezo huo yalifungwa na Fernando Torres dakika ya 50, Victor Moses dakika ya 52 na David Luiz dakika ya 59, wakati la kufutia machozi la Basle lilifungwa na Salah dakika ya 45,
Chelsea imetinga fainali kwa ushindi wa jumla wa 5-2, baada ya awali kushinda ugenini 2-1 na sasa itamenyana na Benfica ya Ureno katika fainali, ambayo usiku huu imeifunga Fenerbahce mabao 3-1 hivyo kufuzu kwa jumla ya ushindi wa mabao 3-2.
Katika mchezo wa leo, kikosi cha Chelsea kilikuwa;Cech, Azpilicueta, Ivanovic, Cahill, Bertrand, Lampard, Luiz/Ake dk81, Ramires/Oscar dk66, Hazard/Mata dk75, Moses, Torres.
Basle: Sommer, Steinhofer, Schar, Sauro, Voser, El-Nenny, Frei/Diaz dk62, Die, Salah, Streller/Zoua dk75, Stocker/David Degen dk62.

Thunderbolt: David Luiz lets fly from distance to hit a world-class goal which capped Chelsea's nightKitu hicho: David Luiz akifunga kwa shuti la mbaliDavid LuizDavid Luiz Akishangilia baada ya kufunga goliNo mistake: Victor Moses fired past a stranded Yann Sommer to give Chelsea a 2-1 lead on the nightHakuna kukosea: Victor Moses akifungaVictor MosesVictor MosesSlide rule: Fernando Torres struck his fifth goal in eight matches - and his tenth of this Europa League campaignMtelezo wa bao: Fernando Torres akifunga bao lake la tano katika mechi nane na la 10 katika Europa League msimu huuSlide rule: Fernando Torres struck his fifth goal in eight matches - and his tenth of this Europa League campaignFernando Torres akishangilia baada ya kuweka mpira nyavuni





Previous Post Next Post