Unknown Unknown Author
Title: CHELSEA BINGWA EUROPA LEAGUE
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Ivanovic akifunga bao la pili na la ushindi BAO la Branislav Ivanovic dakika ya pili ya muda wa nyongeza kati ya tatu baada ya kutimu dak...
WHAM, BAM, THANK YOU BRAN ... Ivanovic wins it for ChelseaIvanovic akifunga bao la pili na la ushindi
BAO la Branislav Ivanovic dakika ya pili ya muda wa nyongeza kati ya tatu baada ya kutimu dakika 90 za kawaida, usiku huu limeipa Cheslea Kombe la Europa League baada ya kuilaza Benfica ya Ureno mabao 2-1 kwenye Uwanja wa Amsterdam Arena.
Beki huyo wa Serbia, alipaa hewani kwenda kuufuata mpira wa kona uliopigwa na  Juan Mata na kuujaza nyavuni.TORRN APART ... Fernando Torres gives Chelsea the leadTorres akimpiga chenga kipa wa Benfica kabla ya kufunga bao la kwanza
Mapema, The Blues walikuwa wa kwanza kupata bao kupitia kwa Fernando Torres dakika ya 60 kabla ya  Oscar Cardozo kuisawazishia Benfica kwa penalti dakika ya 68.
Katika mchezo huo, kikosi cha Chelsea kilikuwa: Cech, Azpilicueta, Ivanovic, Cahill, Cole, Lampard, Luiz, Ramires, Mata, Oscar na Torres.
Benfica: Artur Moraes, Almeida, Luisao, Garay, Melgarejo, Perez, Matic, Rodrigo, Gaitan, Cardozo, Salvio.We want Mourinho: Chelsea fans make their feelings clear as to who they want as their next managerTunamtaka Mourinho: Mashabiki wa Chelsea waliwasilisha hisia zao leo juu ya kocha atakayerithi mikoba Rafa Benitez

Nahaya ndio magoli bofya kitufe cha play hapo chini kuangalia:

About Author

Advertisement

Post a Comment Blogger

Toa Maoni Yako Kuhusu habari Hii

Note: Only a member of this blog may post a comment.

 
Top