BREAKIN NEWZZZZZZ!! TANGAZO MAALUM LA JESHI LA WANANCHI WA TANZANIA KWA WANANCHI WOTE BONGO!!

breaking-news_news

" Mtanzania yeyote: kaa makini usiokote kitu chochote ambacho una mashaka nacho, kuna bomu zimerushwa toka nchi jirani Malawi zaidi ya 30 zenye uzito usiopungua tani 100. Hivyo basi uonapo kitu kipo kama chupa la chai chenye rangi ya fedha "usikiguse" piga namba 0756000042. SMS hii tuma kwa watu uwezavyo: Imetolewa na JWTZ/ LSL5CAMRM: Asante. "

Post a Comment

Hii ni Blog kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Nchi yetu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...

Previous Post Next Post